53 : 1
وَٱلنَّجۡمِ إِذَا هَوَىٰ
Naapa kwa nyota inapo tua!
Explanation & meanings · 1
- Ninaapa kwa nyota inapo tua kwa kuchwa, ya kwamba Muhammad hakuiacha Njia iliyo sawa ya kufuata Haki, na wala hakupata kuitakidi upotovu.
Aya 1 of النَّجم (53 : 1). This page carries the verse in the Uthmani script with a translation of its meaning, at a stable URL that can be cited on its own.
وَٱلنَّجۡمِ إِذَا هَوَىٰ
Naapa kwa nyota inapo tua!