Skip to content
الطُّور /

Aya 14

52 : 14
الطُّور Aya 49
Sura · الطُّور
Kiswahili · Barawani
52 : 14

هَٰذِهِ ٱلنَّارُ ٱلَّتِي كُنتُم بِهَا تُكَذِّبُونَ

(Waambiwe): Huu ndio ule Moto mlio kuwa mkiukanusha!

Explanation & meanings · 1
  1. Wataambiwa: Huu ndio Moto mlio kuwa mkiukanusha duniani.