Skip to content
الذَّاريَات /

Aya 49

51 : 49
الذَّاريَات Aya 60
Sura · الذَّاريَات
Kiswahili · Barawani
51 : 49

وَمِن كُلِّ شَيۡءٍ خَلَقۡنَا زَوۡجَيۡنِ لَعَلَّكُمۡ تَذَكَّرُونَ

Na katika kila kitu tumeumba kwa jozi ili mzingatie.

Explanation & meanings · 1
  1. Na kila kitu tumekiumba namna mbili, yaani kwa jozi, ili mpate kukumbuka muuamini uwezo wetu.