Skip to content
الذَّاريَات /

Aya 27

51 : 27
الذَّاريَات Aya 60
Sura · الذَّاريَات
Kiswahili · Barawani
51 : 27

فَقَرَّبَهُۥٓ إِلَيۡهِمۡ قَالَ أَلَا تَأۡكُلُونَ

Akawakaribisha, akasema: Mbona hamli?

Explanation & meanings · 1
  1. Akawakaribisha, nao hawakula. Akasema kwa kuto wajua hakika yao: Mbona hamli?