Skip to content
قٓ /

Aya 40

50 : 40

Aya 40 of قٓ (50 : 40). This page carries the verse in the Uthmani script with a translation of its meaning, at a stable URL that can be cited on its own.

قٓ Aya 45
Sura · قٓ
Kiswahili · Barawani
50 : 40

وَمِنَ ٱلَّيۡلِ فَسَبِّحۡهُ وَأَدۡبَٰرَ ٱلسُّجُودِ

Na katika usiku pia mtakase, na baada ya kusujudu.

Explanation & meanings · 1
  1. Na pia mtakasishe, Msabbih, katika saa za usiku, na baada ya Swala.