Skip to content
قٓ /

Aya 32

50 : 32
قٓ Aya 45
Sura · قٓ
Kiswahili · Barawani
50 : 32

هَٰذَا مَا تُوعَدُونَ لِكُلِّ أَوَّابٍ حَفِيظٖ

Haya ndiyo mnayo ahidiwa kwa kila mwenye kurejea kwa Mwenyezi Mungu na akajilinda.

Explanation & meanings · 1
  1. Haya ndiyo malipo ya kila mwenye kurejea kwa Mwenyezi Mungu, aliye mwingi wa kuhifadhi sharia zake.