Skip to content
المَائدة /

Aya 37

5 : 37
المَائدة Aya 120
Sura · المَائدة
Kiswahili · Barawani
5 : 37

يُرِيدُونَ أَن يَخۡرُجُواْ مِنَ ٱلنَّارِ وَمَا هُم بِخَٰرِجِينَ مِنۡهَاۖ وَلَهُمۡ عَذَابٞ مُّقِيمٞ

Watataka watoke Motoni, lakini hawatatoka humo, na watakuwa na adhabu inayo dumu.

Explanation & meanings · 1
  1. Hawa makafiri wanatamani kutoka Motoni, na wala hawatatoka humo. Watapata adhabu ya daima dawamu.