Skip to content
المَائدة /

Aya 113

5 : 113

Aya 113 of المَائدة (5 : 113). This page carries the verse in the Uthmani script with a translation of its meaning, at a stable URL that can be cited on its own.

المَائدة Aya 120
Sura · المَائدة
Kiswahili · Barawani
5 : 113

قَالُواْ نُرِيدُ أَن نَّأۡكُلَ مِنۡهَا وَتَطۡمَئِنَّ قُلُوبُنَا وَنَعۡلَمَ أَن قَدۡ صَدَقۡتَنَا وَنَكُونَ عَلَيۡهَا مِنَ ٱلشَّٰهِدِينَ

Wakasema: Tunataka kukila chakula hicho, na nyoyo zetu zitue, na tujue kwamba umetuambia kweli, na tuwe miongoni mwa wanao shuhudia.

Explanation & meanings · 1
  1. Wakasema: Hakika sisi tunataka kula katika chakula hicho, ili nyoyo zetu zitue kwa kudra ya Mwenyezi Mungu tunayo iamini, na tujue kwa kuona kwa macho ya kuwa hakika ni kweli hayo unayo twambia yanatoka kwake Subhanahu, Aliye takasika, na tupate kutoa ushahidi kwa muujiza huu kwa hao ambao hawakuuona.