Skip to content
الجاثِية /

Aya 35

45 : 35
الجاثِية Aya 37
Sura · الجاثِية
Kiswahili · Barawani
45 : 35

ذَٰلِكُم بِأَنَّكُمُ ٱتَّخَذۡتُمۡ ءَايَٰتِ ٱللَّهِ هُزُوٗا وَغَرَّتۡكُمُ ٱلۡحَيَوٰةُ ٱلدُّنۡيَاۚ فَٱلۡيَوۡمَ لَا يُخۡرَجُونَ مِنۡهَا وَلَا هُمۡ يُسۡتَعۡتَبُونَ

Hayo ni kwa sababu nyinyi mlizifanyia mzaha Aya za Mwenyezi Mungu; na maisha ya dunia yakakudanganyeni. Basi leo hawatatolewa humo wala hao hawatakubaliwa udhuru wao.

Explanation & meanings · 1
  1. Adhabu hiyo imekuteremkieni kwa sababu ya ukafiri wenu, na maskhara yenu kuzifanyia Ishara za Mwenyezi Mungu, na mlivyo khadaika na maisha ya dunia kwa mapambo yake. Basi leo hapana yeyote awezaye kuwatoa hawa kwenye Moto, wala hawatakikani kumtaka radhi Mola wao Mlezi kwa kutafuta udhuru.