44 : 27
وَنَعۡمَةٖ كَانُواْ فِيهَا فَٰكِهِينَ
Na neema walizo kuwa wakijistareheshea!
Explanation & meanings · 1
- Na maisha ya raha na starehe, waliyo kuwa wakiyaonea utamu.
Aya 27 of الدُّخان (44 : 27). This page carries the verse in the Uthmani script with a translation of its meaning, at a stable URL that can be cited on its own.
وَنَعۡمَةٖ كَانُواْ فِيهَا فَٰكِهِينَ
Na neema walizo kuwa wakijistareheshea!