Skip to content
الزُّخرُف /

Aya 55

43 : 55
الزُّخرُف Aya 89
Sura · الزُّخرُف
Kiswahili · Barawani
43 : 55

فَلَمَّآ ءَاسَفُونَا ٱنتَقَمۡنَا مِنۡهُمۡ فَأَغۡرَقۡنَٰهُمۡ أَجۡمَعِينَ

Walipo tukasirisha tuliwapatiliza tukawazamisha wote!

Explanation & meanings · 1
  1. Basi walipo tughadhibisha hadi ya kutughadhibisha, kwa kupita kwao mipaka ya ufisadi, tuliwaangamiza kwa kuwazamisha wote.