Skip to content
الزُّخرُف /

Aya 33

43 : 33

Aya 33 of الزُّخرُف (43 : 33). This page carries the verse in the Uthmani script with a translation of its meaning, at a stable URL that can be cited on its own.

الزُّخرُف Aya 89
Sura · الزُّخرُف
Kiswahili · Barawani
43 : 33

وَلَوۡلَآ أَن يَكُونَ ٱلنَّاسُ أُمَّةٗ وَٰحِدَةٗ لَّجَعَلۡنَا لِمَن يَكۡفُرُ بِٱلرَّحۡمَٰنِ لِبُيُوتِهِمۡ سُقُفٗا مِّن فِضَّةٖ وَمَعَارِجَ عَلَيۡهَا يَظۡهَرُونَ

Na lau isinge kuwa watu watakuwa kundi moja tungeli wajaalia wanao mkufuru Rahmani wana nyumba zao zina dari ya fedha, na ngazi zao pia wanazo pandia,

Explanation & meanings · 1
  1. Na lau kuwa si karaha ya kuwa watu wote wawe makafiri wakiona makafiri wamo katika nafasi ya riziki, basi tungeli wafanyia wanao mkufuru Mwenyezi Mungu kuwa nyumba zao ziwe na dari za fedha, na pia ngazi za nyumba zao, kwa kuwa hayo hayana thamani kitu mbele yetu.