Skip to content
الزُّخرُف /

Aya 30

43 : 30

Aya 30 of الزُّخرُف (43 : 30). This page carries the verse in the Uthmani script with a translation of its meaning, at a stable URL that can be cited on its own.

الزُّخرُف Aya 89
Sura · الزُّخرُف
Kiswahili · Barawani
43 : 30

وَلَمَّا جَآءَهُمُ ٱلۡحَقُّ قَالُواْ هَٰذَا سِحۡرٞ وَإِنَّا بِهِۦ كَٰفِرُونَ

Na ilipo wafikia Haki wakasema: Huu ni uchawi, na sisi hakika tunaukataa.

Explanation & meanings · 1
  1. Na ilipo teremka Qur'ani kuwaongoza kwenye Tawhid wakaongeza juu ya ushirikina wao kuita Qur'ani : "uchawi" na "kiini macho", kwa kejeli. Na wakashikilia ukafiri wao.