Skip to content
الشُّورى /

Aya 53

42 : 53

Aya 53 of الشُّورى (42 : 53). This page carries the verse in the Uthmani script with a translation of its meaning, at a stable URL that can be cited on its own.

الشُّورى Aya 53
Sura · الشُّورى
Kiswahili · Barawani
42 : 53

صِرَٰطِ ٱللَّهِ ٱلَّذِي لَهُۥ مَا فِي ٱلسَّمَٰوَٰتِ وَمَا فِي ٱلۡأَرۡضِۗ أَلَآ إِلَى ٱللَّهِ تَصِيرُ ٱلۡأُمُورُ

Njia ya Mwenyezi Mungu ambaye ni vyake Yeye tu viliomo mbinguni na katika ardhi. Jueni kuwa mambo yote yanarudi kwa Mwenyezi Mungu.

Explanation & meanings · 1
  1. Njia ya Dini ya Mwenyezi Mungu ambaye ndiyo vyake Yeye tu peke yake, vyote viliomo mbinguni na katika ardhi, kwa kuumba, na kupanga, na kuendesha. Naye ananabihisha, Subhanahu, kwamba kwake Yeye peke yake ndio yanarejea mambo yote.