Skip to content
الشُّورى /

Aya 46

42 : 46
الشُّورى Aya 53
Sura · الشُّورى
Kiswahili · Barawani
42 : 46

وَمَا كَانَ لَهُم مِّنۡ أَوۡلِيَآءَ يَنصُرُونَهُم مِّن دُونِ ٱللَّهِۗ وَمَن يُضۡلِلِ ٱللَّهُ فَمَا لَهُۥ مِن سَبِيلٍ

Wala hawatakuwa na walinzi wa kuwanusuru mbele ya Mwenyezi Mungu. Na ambaye Mwenyezi Mungu amemwacha kupotea, hana njia yoyote.

Explanation & meanings · 1
  1. Na wala hawatakuwa wa kuwanusuru kutokana na ile miungu ya uwongo walio kuwa wakiiabudu badala ya Mwenyezi Mungu, na walio kuwa wakiit'ii katika kumuasi Mwenyezi Mungu, waje kuwaokoa na adhabu ya Mwenyezi Mungu. Na mwenye kupotea Njia ya Haki kwa kuto kuwa na ujuzi, basi hatokuwa na njia ya kumwokoa na mwisho muovu.