42 : 41
وَلَمَنِ ٱنتَصَرَ بَعۡدَ ظُلۡمِهِۦ فَأُوْلَٰٓئِكَ مَا عَلَيۡهِم مِّن سَبِيلٍ
Na wanao jitetea baada ya kudhulumiwa, hao hapana njia ya kuwalaumu.
Explanation & meanings · 1
- Hakika wanao wapa adhabu wavamizi kama wanavyo fanya uadui wao, hao hawaingiliwi wala hawalaumiwi.