Skip to content
الشُّورى /

Aya 39

42 : 39
الشُّورى Aya 53
Sura · الشُّورى
Kiswahili · Barawani
42 : 39

وَٱلَّذِينَ إِذَآ أَصَابَهُمُ ٱلۡبَغۡيُ هُمۡ يَنتَصِرُونَ

Na ambao wanapo fanyiwa jeuri hujitetea.

Explanation & meanings · 1
  1. Na wale ambao anapo wavamia mwenye kudhulumu wao wanajitetea nafsi zao kuupinga ule uvamizi wake.