Skip to content
الشُّورى /

Aya 37

42 : 37
الشُّورى Aya 53
Sura · الشُّورى
Kiswahili · Barawani
42 : 37

وَٱلَّذِينَ يَجۡتَنِبُونَ كَبَٰٓئِرَ ٱلۡإِثۡمِ وَٱلۡفَوَٰحِشَ وَإِذَا مَا غَضِبُواْ هُمۡ يَغۡفِرُونَ

Na wanayo yaepuka madhambi makubwa na mambo machafu, na wanapo kasirika wao husamehe,

Explanation & meanings · 1
  1. Na wanao jitenga mbali na kupanda madhambi makubwa makubwa aliyo yakataza Mwenyezi Mungu, na madhambi yote yaliyo zidi ubaya, na pindi wakichochewa kwa kufanyiwa mabaya katika mambo ya dunia yao, wao wenyewe wakawa mbele kuanza kusamehe ili kuleta masikilizano;