Skip to content
الشُّورى /

Aya 28

42 : 28

Aya 28 of الشُّورى (42 : 28). This page carries the verse in the Uthmani script with a translation of its meaning, at a stable URL that can be cited on its own.

الشُّورى Aya 53
Sura · الشُّورى
Kiswahili · Barawani
42 : 28

وَهُوَ ٱلَّذِي يُنَزِّلُ ٱلۡغَيۡثَ مِنۢ بَعۡدِ مَا قَنَطُواْ وَيَنشُرُ رَحۡمَتَهُۥۚ وَهُوَ ٱلۡوَلِيُّ ٱلۡحَمِيدُ

Naye ndiye anaye iteremsha mvua baada ya wao kwisha kata tamaa, na hueneza rehema yake. Naye ndiye Mlinzi Mwenye kuhimidiwa.

Explanation & meanings · 1
  1. Na Mwenyezi Mungu, peke yake, ndiye anaye iteremsha mvua inayo waokoa na ukame baada ya kwisha kata tamaa na kuzidi kiangazi, kuwa ni rehema kwa waja wake. Na Yeye hueneza baraka za mvua katika mimea, na miti ya matunda, na wanyama, na nyanda, na milima. Na Yeye, peke yake, ndiye Mwenye madaraka ya kuyapanga mambo yote ya waja wake, na ndiye wa kuhimidiwa kwa neema zake, na vitendo vyake vyote.