4 : 53
أَمۡ لَهُمۡ نَصِيبٞ مِّنَ ٱلۡمُلۡكِ فَإِذٗا لَّا يُؤۡتُونَ ٱلنَّاسَ نَقِيرًا
Au wanayo sehemu ya utawala? Basi hapo wasingewapa watu hata tundu ya kokwa ya tende.
Explanation & meanings · 1
- Hao wamekoseshwa neema ya kuifuata haki, kama walivyo koseshwa na utawala. Na lau wakipewa utawala hawanufaishi watu hata chembe.