Skip to content
النِّسَاء /

Aya 40

4 : 40

Aya 40 of النِّسَاء (4 : 40). This page carries the verse in the Uthmani script with a translation of its meaning, at a stable URL that can be cited on its own.

النِّسَاء Aya 176
Sura · النِّسَاء
Kiswahili · Barawani
4 : 40

إِنَّ ٱللَّهَ لَا يَظۡلِمُ مِثۡقَالَ ذَرَّةٖۖ وَإِن تَكُ حَسَنَةٗ يُضَٰعِفۡهَا وَيُؤۡتِ مِن لَّدُنۡهُ أَجۡرًا عَظِيمٗا

Hakika Mwenyezi Mungu hadhulumu hata uzito wa chembe moja. Na ikiwa ni jambo jema basi Yeye hulizidisha na hutoa kutoka kwake malipo makubwa.

Explanation & meanings · 1
  1. Hakika Mwenyezi Mungu hamdhulumu mtu hata kidogo. Basi hampunguzii ujira wake mtu, wala adhabu yake hamzidishii kabisa. Bali humzidishia mtenda mema thawabu zake mardufu hata zikiwa kidogo vipi. Na humpa kwa fadhila yake malipo makubwa yasiyo lingana na hayo mema yake ambayo yamekwisha zidishwa mardufu.