Skip to content
النِّسَاء /

Aya 31

4 : 31

Aya 31 of النِّسَاء (4 : 31). This page carries the verse in the Uthmani script with a translation of its meaning, at a stable URL that can be cited on its own.

النِّسَاء Aya 176
Sura · النِّسَاء
Kiswahili · Barawani
4 : 31

إِن تَجۡتَنِبُواْ كَبَآئِرَ مَا تُنۡهَوۡنَ عَنۡهُ نُكَفِّرۡ عَنكُمۡ سَيِّـَٔاتِكُمۡ وَنُدۡخِلۡكُم مُّدۡخَلٗا كَرِيمٗا

Mkiyaepuka makubwa mnayo katazwa, tutakufutieni makosa yenu madogo, na tutakuingizeni mahali patukufu.

Explanation & meanings · 1
  1. Mkiyaachilia mbali madhambi makubwa makubwa anayo kukatazeni Mwenyezi Mungu, tutakusameheni makosa yaliyo duni ya hayo, maadamu mnafanya ukomo wa juhudi yenu kwenda sawa; na tutakuwekeni duniani na Akhera mwahali penye ihsani na hishima kwenu.