Skip to content
النِّسَاء /

Aya 156

4 : 156

Aya 156 of النِّسَاء (4 : 156). This page carries the verse in the Uthmani script with a translation of its meaning, at a stable URL that can be cited on its own.

النِّسَاء Aya 176
Sura · النِّسَاء
Kiswahili · Barawani
4 : 156

وَبِكُفۡرِهِمۡ وَقَوۡلِهِمۡ عَلَىٰ مَرۡيَمَ بُهۡتَٰنًا عَظِيمٗا

Na pia kwa kufuru zao na kumsingizia kwao Maryamu uwongo mkubwa.

Explanation & meanings · 1
  1. Na Mwenyezi Mungu amewaghadhibikia Mayahudi kwa sababu ya kufru yao na kumzulia Maryam uzushi mkubwa.