4 : 138
بَشِّرِ ٱلۡمُنَٰفِقِينَ بِأَنَّ لَهُمۡ عَذَابًا أَلِيمًا
Wabashirie wanaafiki kwamba watapata adhabu chungu,.
Explanation & meanings · 1
- Ewe Mtume Mtukufu! Waonye wanaafiki kwamba Siku ya Kiyama watapata adhabu chungu yenye kuumiza.