39 : 12
وَأُمِرۡتُ لِأَنۡ أَكُونَ أَوَّلَ ٱلۡمُسۡلِمِينَ
Na nimeamrishwa niwe wa mwanzo wa Waislamu.
Explanation & meanings · 1
- Na nimeamrishwa amri iliyo tokana naye Mtukufu, amri ya nguvu, ya kwamba niwe wa mwanzo wa kufuata amri zake.