39 : 11
قُلۡ إِنِّيٓ أُمِرۡتُ أَنۡ أَعۡبُدَ ٱللَّهَ مُخۡلِصٗا لَّهُ ٱلدِّينَ
Sema: Hakika mimi nimeamrishwa nimuabudu Mwenyezi Mungu kwa kumsafishia Dini Yeye tu.
Explanation & meanings · 1
- Sema: Mimi nimeamrishwa nimuabudu Mwenyezi Mungu kwa kumsafia ibada yangu isiwe na shirki ndani yake wala riya ya kujionyesha kwa watu.