Skip to content
صٓ /

Aya 78

38 : 78
صٓ Aya 88
Sura · صٓ
Kiswahili · Barawani
38 : 78

وَإِنَّ عَلَيۡكَ لَعۡنَتِيٓ إِلَىٰ يَوۡمِ ٱلدِّينِ

Na hakika laana yangu itakuwa juu yako mpaka Siku ya Malipo.

Explanation & meanings · 1
  1. Na hakika wewe umetengwa mbali na kila kheri mpaka Siku ya Malipo. Hapo utalipwa kwa sababu ya kunikufuru Mimi na kunifanyia kiburi.