38 : 54
إِنَّ هَٰذَا لَرِزۡقُنَا مَا لَهُۥ مِن نَّفَادٍ
Hakika hii ndiyo riziki yetu isiyo malizika.
Explanation & meanings · 1
- Hakika haya bila ya shaka ni tunayo yatoa Sisi, na wala hayana ukomo.