Skip to content
صٓ /

Aya 51

38 : 51

Aya 51 of صٓ (38 : 51). This page carries the verse in the Uthmani script with a translation of its meaning, at a stable URL that can be cited on its own.

صٓ Aya 88
Sura · صٓ
Kiswahili · Barawani
38 : 51

مُتَّكِـِٔينَ فِيهَا يَدۡعُونَ فِيهَا بِفَٰكِهَةٖ كَثِيرَةٖ وَشَرَابٖ

Humo wataegemea matakia, wawe wanaagiza humo matunda mengi na vinywaji.

Explanation & meanings · 1
  1. Watakuwa wamekaa humo wakiegemea juu ya makochi na vitanda kama wafanyavyo wenye taanusi, wakistarehe kwa kutaka matunda ya kila namna na vinywaji.