Skip to content
الصَّافَات /

Aya 94

37 : 94

Aya 94 of الصَّافَات (37 : 94). This page carries the verse in the Uthmani script with a translation of its meaning, at a stable URL that can be cited on its own.

الصَّافَات Aya 182
Sura · الصَّافَات
Kiswahili · Barawani
37 : 94

فَأَقۡبَلُوٓاْ إِلَيۡهِ يَزِفُّونَ

Basi wakamjia upesi upesi.

Explanation & meanings · 1
  1. Walipo baini kwamba kuvunjwa miungu yao ni kwa kitendo cha Ibrahim, basi walimkimbilia ili wamtese kwa alivyo watendea miungu yao.