Skip to content
الصَّافَات /

Aya 93

37 : 93

Aya 93 of الصَّافَات (37 : 93). This page carries the verse in the Uthmani script with a translation of its meaning, at a stable URL that can be cited on its own.

الصَّافَات Aya 182
Sura · الصَّافَات
Kiswahili · Barawani
37 : 93

فَرَاغَ عَلَيۡهِمۡ ضَرۡبَۢا بِٱلۡيَمِينِ

Kisha akaigeukia kuipiga kwa mkono wa kulia.

Explanation & meanings · 1
  1. Akayaingilia yale masanamu kuyapiga kwa mkono wa kulia, kwa kuwa ndio wenye nguvu, akayabomoa.