Skip to content
الصَّافَات /

Aya 88

37 : 88
الصَّافَات Aya 182
Sura · الصَّافَات
Kiswahili · Barawani
37 : 88

فَنَظَرَ نَظۡرَةٗ فِي ٱلنُّجُومِ

Kisha akapiga jicho kutazama nyota.

Explanation & meanings · 1
  1. Basi akazitupia jicho nyota kuzitazama ili apate kuona dalili ya Muumba ulimwengu. Akaziona zinageuka, zinabadilika