37 : 89 فَقَالَ إِنِّي سَقِيمٞ Akasema: Hakika mimi ni mgonjwa! 89Hide explanation (1)Explanation & meanings · 189Akajikhofia nafsi yake asiwe ana upotovu na maradhi ya itikadi.