Skip to content
الصَّافَات /

Aya 84

37 : 84
الصَّافَات Aya 182
Sura · الصَّافَات
Kiswahili · Barawani
37 : 84

إِذۡ جَآءَ رَبَّهُۥ بِقَلۡبٖ سَلِيمٍ

Alipo mjia Mola wake Mlezi kwa moyo mzima.

Explanation & meanings · 1
  1. Alipo mkabili Mola wake Mlezi kwa moyo ulio kuwa nadhifu hauna ushirikina, umemsafia ibada Yeye tu.