Skip to content
الصَّافَات /

Aya 69

37 : 69
الصَّافَات Aya 182
Sura · الصَّافَات
Kiswahili · Barawani
37 : 69

إِنَّهُمۡ أَلۡفَوۡاْ ءَابَآءَهُمۡ ضَآلِّينَ

Hakika waliwakuta baba zao wamepotea.

Explanation & meanings · 1
  1. Wao waliwakuta baba zao wamepotoka, na wao wakafanya haraka kufuata zile zile nyayo za baba zao. Wakawa mbioni kwendea njia yao, wakifuata tu wala hawachungui, kama walio timuliwa na wakihimizwa wende mbio mbio kuwafuata hao baba zao bila ya kupima wala kuzingatia.