37 : 58
أَفَمَا نَحۡنُ بِمَيِّتِينَ
Je! Sisi hatutakufa,
Explanation & meanings · 1
- Je! Sisi tutakaa milele tukineemeka katika Pepo, wala hatufi kabisa isipo kuwa kule kufa kwetu mara ya kwanza duniani, na wala hatuadhibiwi baada ya kwisha ingia Peponi?