Skip to content
الصَّافَات /

Aya 28

37 : 28
الصَّافَات Aya 182
Sura · الصَّافَات
Kiswahili · Barawani
37 : 28

قَالُوٓاْ إِنَّكُمۡ كُنتُمۡ تَأۡتُونَنَا عَنِ ٱلۡيَمِينِ

Watasema: Kwa hakika nyinyi mlikuwa mkitujia upande wa kulia.

Explanation & meanings · 1
  1. Wanyonge watawaambia walio jipa ukubwa: Nyinyi mlikuwa mkitujia upande tulio udhania ni wa kheri na mafanikio, ili mtugeuze njia tuache Haki twende kwenye upotovu.