Skip to content
الصَّافَات /

Aya 21

37 : 21
الصَّافَات Aya 182
Sura · الصَّافَات
Kiswahili · Barawani
37 : 21

هَٰذَا يَوۡمُ ٱلۡفَصۡلِ ٱلَّذِي كُنتُم بِهِۦ تُكَذِّبُونَ

Hii ndiyo Siku ya Hukumu mliyo kuwa mkiikadhibisha.

Explanation & meanings · 1
  1. Watajibiwa: Hii ndiyo Siku ya Hukumu na kufarikisha vitendo, mliyo kuwa mkiikadhibisha.