Skip to content
الصَّافَات /

Aya 182

37 : 182
الصَّافَات Aya 182
Sura · الصَّافَات
Kiswahili · Barawani
37 : 182

وَٱلۡحَمۡدُ لِلَّهِ رَبِّ ٱلۡعَٰلَمِينَ

Na sifa njema zote ni za Mwenyezi Mungu Mola Mlezi wa walimwengu wote.

Explanation & meanings · 1
  1. Na sifa njema ni za Mwenyezi Mungu peke yake, Muumba wa viumbe vyote, na Mwenye kuwaangalia makhaluku wote.