37 : 176 أَفَبِعَذَابِنَا يَسۡتَعۡجِلُونَ Je! Wanaihimiza adhabu yetu?. 176Hide explanation (1)Explanation & meanings · 1176Je! Wamepoteza akili zao nini, hata wakawa wanaihimiza adhabu yetu?