37 : 163
إِلَّا مَنۡ هُوَ صَالِ ٱلۡجَحِيمِ
Isipo kuwa yule atakaye ingia Motoni.
Explanation & meanings · 1
- Isipo kuwa yule ambaye tangu hapo Mwenyezi Mungu Mtukufu anamjua ni katika watu wa Motoni, na huko ataingia.
إِلَّا مَنۡ هُوَ صَالِ ٱلۡجَحِيمِ
Isipo kuwa yule atakaye ingia Motoni.