Skip to content
الصَّافَات /

Aya 151

37 : 151
الصَّافَات Aya 182
Sura · الصَّافَات
Kiswahili · Barawani
37 : 151

أَلَآ إِنَّهُم مِّنۡ إِفۡكِهِمۡ لَيَقُولُونَ

Ati ni kwa uzushi wao ndio wanasema:.

Explanation & meanings · 1
  1. Ewe mwenye kusikia! Yazingatie maneno yao. Hakika wao kwa uwongo wao wanasema: Mwenyezi Mungu amezaa! Na hali Yeye ametakasika na upungufu kama huo wa kuwa mzazi au kuzaliwa. Na hakika bila ya shaka hao ni waongo kwa usemi huo, kwa ushahidi wa dalili nyingi za Upweke wake.