Skip to content
الصَّافَات /

Aya 148

37 : 148

Aya 148 of الصَّافَات (37 : 148). This page carries the verse in the Uthmani script with a translation of its meaning, at a stable URL that can be cited on its own.

الصَّافَات Aya 182
Sura · الصَّافَات
Kiswahili · Barawani
37 : 148

فَـَٔامَنُواْ فَمَتَّعۡنَٰهُمۡ إِلَىٰ حِينٖ

Basi wakaamini, na tukawastarehesha kwa muda.

Explanation & meanings · 1
  1. Wakauwitikia wito wake, nasi tukawakunjulia neema zetu kwa muda maalumu.