Skip to content
الصَّافَات /

Aya 13

37 : 13

Aya 13 of الصَّافَات (37 : 13). This page carries the verse in the Uthmani script with a translation of its meaning, at a stable URL that can be cited on its own.

الصَّافَات Aya 182
Sura · الصَّافَات
Kiswahili · Barawani
37 : 13

وَإِذَا ذُكِّرُواْ لَا يَذۡكُرُونَ

Na wanapo kumbushwa hawakumbuki.

Explanation & meanings · 1
  1. Na wanapo kabiliwa kwa dalili za uweza wa Mwenyezi Mungu kufufua, hata hawazishughulikii wakanufaika kwa hizo dalili.