Skip to content
الصَّافَات /

Aya 127

37 : 127
الصَّافَات Aya 182
Sura · الصَّافَات
Kiswahili · Barawani
37 : 127

فَكَذَّبُوهُ فَإِنَّهُمۡ لَمُحۡضَرُونَ

Wakamkadhibisha. Basi kwa hakika watahudhurishwa;.

Explanation & meanings · 1
  1. Lakini walimkadhibisha, basi jaza yao ni kuhudhurishwa kwenye Moto Siku ya Kiyama.