Skip to content
يسٓ /

Aya 35

36 : 35
يسٓ Aya 83
Sura · يسٓ
Kiswahili · Barawani
36 : 35

لِيَأۡكُلُواْ مِن ثَمَرِهِۦ وَمَا عَمِلَتۡهُ أَيۡدِيهِمۡۚ أَفَلَا يَشۡكُرُونَ

Ili wale matunda yake, na hayo hayakufanywa na mikono yao! Basi je, hawashukuru?

Explanation & meanings · 1
  1. Na humo tukafanya vitalu na mabustani ya mitende na mizabibu, na tukapasua humo chemchem ya kumwagia maji kwenye miti yake, na ikatoa matunda, na wao wakala katika hayo. Na hayo si kazi ya mikono yao. Basi kwa nini hawatoi haki ya Mwenyezi Mungu iliyo juu yao kwa kumuamini na kumshukuru?