Skip to content
يسٓ /

Aya 16

36 : 16
يسٓ Aya 83
Sura · يسٓ
Kiswahili · Barawani
36 : 16

قَالُواْ رَبُّنَا يَعۡلَمُ إِنَّآ إِلَيۡكُمۡ لَمُرۡسَلُونَ

Wakasema: Mola wetu Mlezi anajua kwamba hakika sisi tumetumwa kwenu.

Explanation & meanings · 1
  1. Wale Wajumbe wakasema: Mola wetu Mlezi aliye tutuma anajua kuwa hakika sisi bila ya shaka tumetumwa kwenu.