Skip to content
السَّجدة /

Aya 30

32 : 30
السَّجدة Aya 30
Sura · السَّجدة
Kiswahili · Barawani
32 : 30

فَأَعۡرِضۡ عَنۡهُمۡ وَٱنتَظِرۡ إِنَّهُم مُّنتَظِرُونَ

Basi wapuuze, nawe ngonja; hakika wao wanangoja.

Explanation & meanings · 1
  1. Na ikiwa kufanya maskhara kama hivi ndio mtindo wao, basi wapuuzilie mbali. Na wewe ngojea ukweli aliyo kuahidi Mola wako Mlezi juu yao, kwani wao wanakungojea ushindwe.