Skip to content
السَّجدة /

Aya 19

32 : 19

Aya 19 of السَّجدة (32 : 19). This page carries the verse in the Uthmani script with a translation of its meaning, at a stable URL that can be cited on its own.

السَّجدة Aya 30
Sura · السَّجدة
Kiswahili · Barawani
32 : 19

أَمَّا ٱلَّذِينَ ءَامَنُواْ وَعَمِلُواْ ٱلصَّٰلِحَٰتِ فَلَهُمۡ جَنَّٰتُ ٱلۡمَأۡوَىٰ نُزُلَۢا بِمَا كَانُواْ يَعۡمَلُونَ

Ama walio amini na wakatenda mema, watakuwa nazo Bustani za makaazi mazuri. Ndio pa kufikia kwa waliyo kuwa wakiyatenda.

Explanation & meanings · 1
  1. Ama walio amini na wakatenda mema watapata Bustani za Utulivu ziwe ndio maskani zao, kuwa ni ukarimu watao kirimiwa kwa waliyo kuwa wakiyatenda.