Skip to content
آل عِمران /

Aya 76

3 : 76

Aya 76 of آل عِمران (3 : 76). This page carries the verse in the Uthmani script with a translation of its meaning, at a stable URL that can be cited on its own.

آل عِمران Aya 200
Sura · آل عِمران
Kiswahili · Barawani
3 : 76

بَلَىٰۚ مَنۡ أَوۡفَىٰ بِعَهۡدِهِۦ وَٱتَّقَىٰ فَإِنَّ ٱللَّهَ يُحِبُّ ٱلۡمُتَّقِينَ

Sivyo hivyo, bali anaye timiza ahadi yake na akamchamngu basi Mwenyezi Mungu huwapenda wachamngu.

Explanation & meanings · 1
  1. Hakika ni kweli wamemzulia uwongo Mwenyezi Mungu. Kwani mwenye kumrejeshea mwenyewe haki yake na akamtimizia kwa wakati wake kama alivyo ahidi, na akamwogopa Mwenyezi Mungu, wala asipunguze kitu wala asiakhirishe, huyo basi atapata mapenzi ya Mwenyezi Mungu kwa sababu amemcha Yeye.